Deuteronomy 22:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utafanya vivyo hivyo kuhusu punda au vazi au kitu chochote ambacho nduguyo amekipoteza. Kamwe usiache kumsaidia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Fanya vivyo hivyo ukimkuta punda wa nduguyo au joho lake au chochote alichopoteza. Usipuuze jambo hilo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena fanya vivyo kwa punda wake; tena fanya vivyo kwa mavazi yake; tena fanya vivyo kwa kila kitu kilichopotea cha nduguyo, kilichompotea ukakiona wewe; usijifiche kama usiyekiona.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utafanya vivyo hivyo kuhusu punda au vazi au kitu chochote ambacho nduguyo amekipoteza. Kamwe usiache kumsaidia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Fanya vivyo hivyo ukimkuta punda wa nduguyo au joho lake au cho chote alichopoteza. Usipuuze jambo hilo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Fanya vivyo hivyo ukimkuta punda wa nduguyo au joho lake au chochote alichopoteza. Usipuuze jambo hilo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena fanya vivyo hivyo kwa punda wake; tena fanya vivyo hivyo kwa mavazi yake; tena fanya vivyo hivyo kwa kila kitu kilichopotea cha nduguyo, kilichompotea ukakiona wewe; usijifiche kama usiyekiona.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utafanya vivyo hivyo kuhusu punda au vazi au kitu chochote ambacho nduguyo amekipoteza. Kamwe usiache kumsaidia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo ufanye hata utakapomwona punda wake au nguo zake au cho chote, ndugu yako atakachopotelewa nacho; wewe utakapokiona hutaweza kujificha kuwa kama mtu asiyeona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena fanya vivyo kwa punda wake; tena fanya vivyo kwa mavazi yake; tena fanya vivyo kwa kila kitu kilichopotea cha nduguyo, kilichompotea ukakiona wewe; usijifiche kama usiyekiona.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utafanya vivyo hivyo kwa punda au vazi au kitu chochote ambacho ndugu yako amekipoteza. Usiache kumusaidia.