Deuteronomy 22:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ukiona punda au ng'ombe wa nduguyo ameanguka njiani, usiache kumsaidia nduguyo; utamsaidia kumwinua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ukimwona punda wa nduguyo au ng’ombe wake ameanguka barabarani, usipuuze jambo hilo. Msaidie asimame kwa miguu yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umwonapo punda wa nduguyo, au ng'ombe wake, ameanguka kando ya njia, usijifiche kama usiyemwona; sharti umsaidie kumwinua tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ukiona punda au ng'ombe wa nduguyo ameanguka njiani, usiache kumsaidia nduguyo; utamsaidia kumwinua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ukimwona punda wa nduguyo au ng'ombe wake ameanguka barabarani, usipuuze jambo hilo. Msaidie asimame kwa miguu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ukimwona punda wa nduguyo au ng’ombe wake ameanguka barabarani, usipuuze jambo hilo. Msaidie asimame kwa miguu yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umwonapo punda wa nduguyo, au ng'ombe wake, ameanguka kando ya njia, usijifiche kama usiyemwona; sharti umsaidie kumwinua tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ukiona punda au ng'ombe wa nduguyo ameanguka njiani, usiache kumsaidia nduguyo; utamsaidia kumwinua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakapoona, punda wa ndugu yako au ng'ombe wake wakianguka njiani, usijifiche kuwa kama mtu asiyewaona, ila sharti umsaidie kuwainua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umwonapo punda wa nduguyo, au ng’ombe wake, ameanguka kando ya njia, usijifiche kama usiyemwona; sharti umsaidie kumwinua tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Ukiona punda au ngombe wa ndugu yako ameanguka katika njia, usiache kumusaidia ndugu yako; utamusaidia kumwinua.