Deuteronomy 22:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ukikuta kiota cha ndege mtini au njiani, kina makinda au mayai na mamandege ameyafunika hayo makinda au mayai, usimchukue mamandege na makinda yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ukikuta kiota cha ndege kando ya barabara, iwe juu ya mti au chini, naye ndege amelala juu ya makinda au mayai, usimchukue huyo ndege pamoja na makinda yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kiota cha ndege kikitukia kuwa mbele yako njiani, katika mti wo wote, au chini, chenye makinda au mayai, naye koo ameatamia juu ya makinda, au juu ya mayai, usimtwae yule koo pamoja na makinda;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ukikuta kiota cha ndege mtini au njiani, kina makinda au mayai na mamandege ameyafunika hayo makinda au mayai, usimchukue mamandege na makinda yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ukikuta kiota cha ndege kando ya barabara, iwe juu ya mti au chini, naye ndege amelala juu ya makinda au mayai, usimchukue huyo ndege pamoja na makinda yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ukikuta kiota cha ndege kando ya barabara, iwe juu ya mti au chini, naye ndege amelala juu ya makinda au mayai, usimchukue huyo ndege pamoja na makinda yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kiota cha ndege kikitukia kuwa mbele yako njiani, katika mti wowote, au chini, chenye makinda au mayai, naye koo ameatamia juu ya makinda, au juu ya mayai, usimtwae yule koo pamoja na makinda;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ukikuta kiota cha ndege mtini au njiani, kina makinda au mayai na mamandege ameyafunika hayo makinda au mayai, usimchukue mamandege na makinda yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakapokuta kiota cha ndege njiani, kiko mbele yako katika mti au chini mchangani chenye makinda au chenye mayai, naye mama akiwaatamia makinda au mayai, usimchukue mama pamoja na watoto,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kiota cha ndege kikitukia kuwa mbele yako njiani, katika mti wo wote, au chini, chenye makinda au mayai, naye koo ameatamia juu ya makinda, au juu ya mayai, usimtwae yule koo pamoja na makinda;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Ukikuta chicha ya ndege juu ya muti au katika njia, inayokuwa na vitoto au mayai na mama ndege amefunika hivyo vitoto au mayai, usitwae mama ndege na vitoto vyake.