Deuteronomy 22:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utamwacha mamandege aende zake, lakini unaweza kuchukua makinda. Ukifanya hivyo utafanikiwa na kuishi maisha marefu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unaweza kuchukua makinda, lakini hakikisha unamwachilia huyo ndege, ili upate kufanikiwa na kuishi maisha marefu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
sharti umwache yule koo aende zake, lakini makinda waweza kuyatwaa uwe nayo; ili upate kufanikiwa, ufanye siku zako kuwa nyingi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utamwacha mamandege aende zake, lakini unaweza kuchukua makinda. Ukifanya hivyo utafanikiwa na kuishi maisha marefu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waweza kuchukua makinda, lakini uwe na hakika ya kumwacha huyo ndege, ili upate kufanikiwa na uweze kuishi maisha marefu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waweza kuchukua makinda, lakini uwe na hakika ya kumwacha huyo ndege, ili upate kufanikiwa na uweze kuishi maisha marefu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
sharti umwache yule koo aende zake, lakini makinda waweza kuyatwaa uwe nayo; ili upate kufanikiwa, ufanye siku zako kuwa nyingi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utamwacha mamandege aende zake, lakini unaweza kuchukua makinda. Ukifanya hivyo utafanikiwa na kuishi maisha marefu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ila umwache mama, ajiendee, uchukue watoto tu, upate kuona mema, nazo siku zako ziwe nyingi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
sharti umwache yule koo aende zake, lakini makinda waweza kuyatwaa uwe nayo; ili upate kufanikiwa, ufanye siku zako kuwa nyingi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utamwacha mama ndege aende zake, lakini unaweza kutwaa vitoto. Ukifanya hivyo utafanikiwa na kuishi maisha marefu.