Deuteronomy 22:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Unapojenga nyumba, jenga ukingo pembeni mwa paa, usije ukalaumiwa kama mtu akianguka kutoka huko, akafa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unapojenga nyumba mpya, fanya ukuta wa kuzuia kandokando ya dari ili usijiletee hatia ya kumwaga damu juu ya nyumba yako ikiwa yeyote ataanguka kutoka humo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utakapojenga nyumba mpya, fanya ukuta kando-kando ya dari lako, usije ukaleta damu juu ya nyumba yako, mtu akianguka huko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Unapojenga nyumba, jenga ukingo pembeni mwa paa, usije ukalaumiwa kama mtu akianguka kutoka huko, akafa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati unapojenga nyumba mpya, fanya ukuta wa kuzuia kandokando ya dari ili usijiletee hatia ya kumwaga damu juu ya nyumba yako ikiwa ye yote ataanguka kutoka humo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati unapojenga nyumba mpya, fanya ukuta wa kuzuia kandokando ya dari ili usijiletee hatia ya kumwaga damu juu ya nyumba yako ikiwa yeyote ataanguka kutoka humo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utakapojenga nyumba mpya, fanya ukuta kandokando ya dari lako, usije ukaleta damu juu ya nyumba yako, mtu akianguka huko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Unapojenga nyumba, jenga ukingo pembeni mwa paa, usije ukalaumiwa kama mtu akianguka kutoka huko, akafa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakapojenga nyumba mpya, sharti juu darini utengeneze kikingio, usifanye nyumbani mwako kuwa mwenye damu ya mtu, mtu akianguka huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utakapojenga nyumba mpya, fanya ukuta kando-kando ya dari lako, usije ukaleta damu juu ya nyumba yako, mtu akianguka huko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Unapojenga nyumba, jenga ukuta pembeni ya paa, kusudi usihukumiwe kama mutu akianguka kutoka huko, na kufa.