Deuteronomy 22:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Usipande mizabibu yako pamoja na mimea mingine, la sivyo mazao yote yatakuwa haramu, siyo tu yale uliyopanda bali pia matunda ya mizabibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usipande aina mbili za mbegu katika shamba lako la mizabibu; ikiwa utafanya hivyo, si mazao utakayopanda tu yatakuwa najisi, bali nayo matunda ya shamba la mizabibu pia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usipande shamba lako la mizabibu aina mbili za mbegu; yasije yakaondolewa matunda yote, mbegu ulizopanda na maongeo ya mizabibu yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Usipande mizabibu yako pamoja na mimea mingine, la sivyo mazao yote yatakuwa haramu, siyo tu yale uliyopanda bali pia matunda ya mizabibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usipande aina mbili za mbegu katika shamba lako la mizabibu; ikiwa utafanya hivyo, si mazao utakayopanda tu yatakuwa najisi, bali nayo matunda ya shamba la mizabibu pia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usipande aina mbili za mbegu katika shamba lako la mizabibu; ikiwa utafanya hivyo, si mazao utakayopanda tu yatakuwa najisi, bali nayo matunda ya shamba la mizabibu pia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usipande shamba lako la mizabibu aina mbili za mbegu; yasije yakaondolewa matunda yote, mbegu ulizopanda na mavuno ya mizabibu yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Usipande mizabibu yako pamoja na mimea mingine, la sivyo mazao yote yatakuwa haramu, siyo tu yale uliyopanda bali pia matunda ya mizabibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Shamba lako la mizabibu usilipande mbegu za namna mbili, lote pia lisiwe mali ya Patakatifu: mbegu, ulizozipanda, pamoja na mazao ya mizabibu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usipande shamba lako la mizabibu aina mbili za mbegu; yasije yakaondolewa matunda yote, mbegu ulizopanda na maongeo ya mizabibu yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Usipande mizabibu yako pamoja na mimea mingine, kama sivyo mazao yote yatakuwa haramu, siyo tu yale uliyopanda lakini vilevile matunda ya mizabibu.