Deuteronomy 23:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mwanamume yeyote aliyehasiwa au aliyekatwa uume wake haruhusiwi kujiunga na kusanyiko la watu wa Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Asiingie mtu yeyote aliyehasiwa kwa kupondwa makende au kwa kukatwa uume wake katika kusanyiko la Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Aliyejeruhika konde, au aliyekatika tupu yake, asiingie mtu huyo katika mkutano wa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mwanamume yeyote aliyehasiwa au aliyekatwa uume wake haruhusiwi kujiunga na kusanyiko la watu wa Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Asiingie mtu ye yote aliyehasiwa kwa kupondwa makende au kwa kukatwa uume wake katika kusanyiko la BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Asiingie mtu yeyote aliyehasiwa kwa kupondwa makende au kwa kukatwa uume wake katika kusanyiko la bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aliyejeruhika konde, au aliyekatika tupu yake, asiingie mtu huyo katika mkutano wa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mwanamume yeyote aliyehasiwa au aliyekatwa uume wake haruhusiwi kujiunga na kusanyiko la watu wa Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika mkutano wa Bwana asiingie mume aliyekomeshwa kuzaa kwa kupondwa au kwa kukatwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Aliyejeruhika konde, au aliyekatika tupu yake, asiingie mtu huyo katika mkutano wa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Mwanaume yeyote asilale na muke wa baba yake.