Deuteronomy 23:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Lazima muwe na mahali nje ya kambi ambapo mnaweza kwenda haja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tengeni mahali nje ya kambi ambapo mnaweza kwenda kujisaidia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena uwe na mahali nje ya kituo, kwa kutokea nje;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Lazima muwe na mahali nje ya kambi ambapo mnaweza kwenda haja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tengeni mahali nje ya kambi ambapo mnaweza kwenda kujisaidia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tengeni mahali nje ya kambi ambapo mnaweza kwenda kujisaidia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena uwe na mahali nje ya kituo, kwa kutokea nje;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Lazima muwe na mahali nje ya kambi ambapo mnaweza kwenda haja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena huko nje ya makambi uwe na mahali pa kuendea chooni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena uwe na mahali nje ya kituo, kwa kutokea nje;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ikifika magaribi ataoga, na jua likitua anaweza kurudi katika kambi.