Deuteronomy 23:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mtumwa akikimbilia kwako usimrudishe kwa bwana wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikiwa mtumwa amekimbilia kwako, usimrudishe kwa bwana wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usimrudishe kwa bwana wake mtumwa aliyejiponya kutoka kwa bwana wake kuja kwako;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mtumwa akikimbilia kwako usimrudishe kwa bwana wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikiwa mtumwa amekimbilia kwako, usimrudishe kwa bwana wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikiwa mtumwa amekimbilia kwako, usimrudishe kwa bwana wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usimrudishe kwa bwana wake mtumwa aliyejiponya kutoka kwa bwana wake kuja kwako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mtumwa akikimbilia kwako usimrudishe kwa bwana wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtumwa aliyekukimbilia, ajiponye mikononi mwa bwana wake, usimrudishe kwake yule bwana wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usimrudishe kwa bwana wake mtumwa aliyejiponya kutoka kwa bwana wake kuja kwako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kambi yenu inapaswa kuwa takatifu kwa sababu Yawe, Mungu wenu anatembea katika kambi yenu kusudi awaokoe na kuwatia waadui zenu katika mikono yenu. Kwa hiyo musimwache aone kitu chochote kisichofaa kati yenu, kama sivyo atawaacha ninyi.