Deuteronomy 23:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ataishi pamoja nawe mahali atakapochagua katika mojawapo ya makao yako, mahali panapompendeza. Usimdhulumu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwache aishi miongoni mwenu mahali popote anapopapenda na katika mji wowote anaochagua. Usimdhulumu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na akae nawe, katikati yako, ndani ya malango yako mojawapo, mahali atakapochagua palipo pema machoni pake; usimwonee.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ataishi pamoja nawe mahali atakapochagua katika mojawapo ya makao yako, mahali panapompendeza. Usimdhulumu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwache aishi miongoni mwenu mahali po pote anapopapenda na katika mji wo wote anaochagua. Usimwonee.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwache aishi miongoni mwenu mahali popote anapopapenda na katika mji wowote anaochagua. Usimwonee.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na akae nawe, katikati yako, ndani ya malango yako mojawapo, mahali atakapochagua palipo pema machoni pake; usimwonee.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ataishi pamoja nawe mahali atakapochagua katika mojawapo ya makao yako, mahali panapompendeza. Usimdhulumu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na akae kwako mahali, atakapojichagulia po pote penye malango yako patakapokuwa pema machoni pake, nawe usimsumbue.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na akae nawe, katikati yako, ndani ya malango yako mojawapo, mahali atakapochagua palipo pema machoni pake; usimwonee.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Mutumwa akikimbilia kwako usimurudishe kwa bwana wake.