Deuteronomy 23:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mwisraeli yeyote, mwanamume au mwanamke, haruhusiwi kamwe kuwa kahaba wa kidini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Asiwepo Mwisraeli mwanamke kahaba au mwanaume hanithi wa mahali pa ibada za sanamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pasiwe na kahaba katika binti za Israeli, wala pasiwe na hanithi katika wana wa Israeli wanaume.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mwisraeli yeyote, mwanamume au mwanamke, haruhusiwi kamwe kuwa kahaba wa kidini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Asiwepo Mwisraeli mwanamke kahaba au mwanaume hanithi wa mahali pa kuabudia miungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Asiwepo Mwisraeli mwanamke kahaba au mwanaume hanithi wa mahali pa kuabudia miungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pasiwe na kahaba katika binti za Israeli, wala pasiwe na hanithi katika wana wa Israeli wanaume.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mwisraeli yeyote, mwanamume au mwanamke, haruhusiwi kamwe kuwa kahaba wa kidini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika wana wa kike wa Kiisiraeli wasiwe wagoni wa Patakatifu, wala katika wana wa kiume wa Kiisiraeli wasiwe wagoni wa Patakatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pasiwe na kahaba katika binti za Israeli, wala pasiwe na hanithi katika wana wa Israeli wanaume.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ataishi pamoja nawe pahali atakapochagua katika moja ya makao yako, pahali panapomupendeza. Usimutese.