Deuteronomy 23:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Fedha yoyote iliyopatikana kwa vitendo vya ukahaba huo, isipelekwe hekaluni kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kulipia nadhiri, maana mwanamume au mwanamke aliye kahaba wa kidini ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kamwe usilete mapato ya ukahaba ikiwa ni ya mwanamke au ni ya mwanaume katika nyumba ya Mwenyezi Mungu, Mungu wako, kwa ajili ya nadhiri yoyote, kwa sababu Mwenyezi Mungu, Mungu wako, anachukizwa na yote mawili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usilete ujira wa kahaba, wala mshahara wa mbwa, katika nyumba ya Bwana, Mungu wako, kwa ajili ya nadhiri yo yote; kwani haya ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako, yote mawili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Fedha yoyote iliyopatikana kwa vitendo vya ukahaba huo, isipelekwe hekaluni kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kulipia nadhiri, maana mwanamume au mwanamke aliye kahaba wa kidini ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kamwe usilete mapato ya ukahaba ikiwa ni ya mwanamke au ni ya mwanaume katika nyumba ya BWANA Mungu wako kwa ajili ya nadhiri yo yote, kwa sababu BWANA Mungu wako anachukizwa na yote mawili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kamwe usilete mapato ya ukahaba ikiwa ni ya mwanamke au ni ya mwanaume katika nyumba ya bwana Mwenyezi Mungu wako kwa ajili ya nadhiri yoyote, kwa sababu bwana Mwenyezi Mungu wako anachukizwa na yote mawili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usilete ujira wa kahaba, wala mshahara wa mbwa, katika nyumba ya BWANA, Mungu wako, kwa ajili ya nadhiri yoyote; kwani haya ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako, yote mawili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Fedha yoyote iliyopatikana kwa vitendo vya ukahaba huo, isipelekwe hekaluni kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kulipia nadhiri, maana mwanamume au mwanamke aliye kahaba wa kidini ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wala usiingize Nyumbani mwa Bwana Mungu wako mshahara wa ugoni wala fedha za kuuza mbwa, ijapo ziwe za kiapo cho chote, kwani Bwana Mungu wako huzikataa zote mbili kwa kuchukizwa nazo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usilete ujira wa kahaba, wala mshahara wa mbwa, katika nyumba ya BWANA, Mungu wako, kwa ajili ya nadhiri yo yote; kwani haya ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako, yote mawili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Mwisraeli yeyote, mwanaume au mwanamuke, hatakuwa hata kidogo kahaba wa kidini.