Deuteronomy 23:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Na mwana haramu yeyote, wala mzawa wake hata kizazi cha kumi, haruhusiwi kuingia katika kusanyiko la watu wa Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu ambaye amezaliwa kwenye ndoa isiyo halali au wazao wake wasiingie kwenye kusanyiko la Mwenyezi Mungu, hata kizazi cha kumi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Na mwana haramu yeyote, wala mzawa wake hata kizazi cha kumi, haruhusiwi kuingia katika kusanyiko la watu wa Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu ye yote ambaye amezaliwa kwenye ndoa isiyo halali au wazao wake wasiingie kwenye kusanyiko la BWANA, hata mpaka kizazi cha kumi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu yeyote ambaye amezaliwa kwenye ndoa isiyo halali au wazao wake wasiingie kwenye kusanyiko la bwana, hata mpaka kizazi cha kumi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa BWANA; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Na mwana haramu yeyote, wala mzawa wake hata kizazi cha kumi, haruhusiwi kuingia katika kusanyiko la watu wa Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika mkutano wa Bwana asiingie mwana wa ugoni wa ndugu na ndugu; ijapo awe wa kizazi chake cha kumi, asiingie katika mkutano wa Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa BWANA; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Mwanaume yeyote aliyeumizwa au aliyekatwa kiungo chake cha kiume haruhusiwi kujiunga na kusanyiko la watu wa Yawe.