Deuteronomy 23:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unapoweka nadhiri kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, usichelewe kuitekeleza, maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wako ataidai kwako, nawe utakuwa na kosa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ukiweka nadhiri kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wako, usichelewe kuitimiza, kwa kuwa Mwenyezi Mungu, Mungu wako, atakudai, nawe utakuwa na hatia ya dhambi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utakapoweka nadhiri kwa Bwana, Mungu wako, usiwe mlegevu katika kuiondoa; kwa kuwa Bwana, Mungu wako, hataacha kuitaka kwako; nayo hivi itakuwa dhambi kwako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unapoweka nadhiri kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, usichelewe kuitekeleza, maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wako ataidai kwako, nawe utakuwa na kosa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ukiweka nadhiri kwa BWANA Mungu wako, usichelewe kuitimiza, kwa kuwa BWANA Mungu wako atakudai, nawe utakuwa na hatia ya dhambi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ukiweka nadhiri kwa bwana Mwenyezi Mungu wako, usichelewe kuitimiza, kwa kuwa bwana Mwenyezi Mungu wako atakudai, nawe utakuwa na hatia ya dhambi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utakapoweka nadhiri kwa BWANA, Mungu wako, usiwe mlegevu katika kuiondoa; kwa kuwa BWANA, Mungu wako, hataacha kuitaka kwako; nayo hivi itakuwa dhambi kwako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unapoweka nadhiri kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, usichelewe kuitekeleza, maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wako ataidai kwako, nawe utakuwa na kosa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakapoapa kiapo cha kumpa Bwana Mungu wako cho chote usikawie kukitimiza, kwani Bwana Mungu wako atakitafuta kwako, nawe usipompa utakuwa kama mwenye kujikosesha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utakapoweka nadhiri kwa BWANA, Mungu wako, usiwe mlegevu katika kuiondoa; kwa kuwa BWANA, Mungu wako, hataacha kuitaka kwako; nayo hivi itakuwa dhambi kwako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unaweza kuomba faida unapomukopesha mugeni, lakini ndugu yako Mwisraeli usimulipishe faida, naye Yawe, Mungu wako, atakubariki katika shuguli zako zote utakazofanya katika inchi ambayo unakwenda kurizi.