Deuteronomy 23:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini ukiacha kuweka nadhiri hutakuwa na dhambi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ukijizuia kuweka nadhiri, hutakuwa na hatia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini ukijizuia usiweke nadhiri, haitakuwa dhambi kwako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini ukiacha kuweka nadhiri hutakuwa na dhambi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ukijizuia kuweka nadhiri, hutakuwa na hatia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ukijizuia kuweka nadhiri, hutakuwa na hatia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini ukijizuia usiweke nadhiri, haitakuwa dhambi kwako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini ukiacha kuweka nadhiri hutakuwa na dhambi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini utakapoacha kuapa hivyo hukosi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini ukijizuia usiweke nadhiri, haitakuwa dhambi kwako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unapofanya kiapo mbele ya Yawe, Mungu wako, usichelewe kukitimiza, maana Yawe, Mungu wako, atakidai kwako, nawe utakuwa na kosa.