Deuteronomy 23:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ukipitia katika shamba la mzabibu la jirani yako unaweza kula zabibu kadiri uwezavyo, lakini usichume na kuchukua zabibu zozote kikapuni mwako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ukiingia katika shamba la mizabibu la jirani yako, unaweza kula zabibu kadiri utakavyo, lakini usiweke chochote kwenye kikapu chako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uingiapo katika shamba la mizabibu la jirani yako, utaweza kula zabibu za kukushibisha, kama upendavyo; ila usitie katika chombo chako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ukipitia katika shamba la mzabibu la jirani yako unaweza kula zabibu kadiri uwezavyo, lakini usichume na kuchukua zabibu zozote kikapuni mwako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ukiingia katika shamba la mizabibu la jirani yako, unaweza kula zabibu kadiri utakavyo, lakini usiweke cho chote kwenye kikapu chako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ukiingia katika shamba la mizabibu la jirani yako, unaweza kula zabibu kadiri utakavyo, lakini usiweke chochote kwenye kikapu chako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uingiapo katika shamba la mizabibu la jirani yako, utaweza kula zabibu za kukushibisha, kama upendavyo; ila usitie katika chombo chako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ukipitia katika shamba la mzabibu la jirani yako unaweza kula zabibu kadiri uwezavyo, lakini usichume na kuchukua zabibu zozote kikapuni mwako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakapoingia mizabibuni kwa mwenzako utaweza kula zabibu, kama roho yako itakavyopenda, hata ushibe, lakini usitie nyingine chomboni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uingiapo katika shamba la mizabibu la jirani yako, utaweza kula zabibu za kukushibisha, kama upendavyo; ila usitie katika chombo chako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukuwe mwangalifu kutimiza kiapo ulichosema kwa mudomo wako, maana ulimwahidi Yawe, Mungu wako, kwa mapenzi yako.