Deuteronomy 23:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukipitia katika shamba la jirani yako lenye nafaka unaweza kukwanyua masuke kwa mkono na kula, lakini usichukue mundu kukata mazao yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ukiingia katika shamba la nafaka la jirani yako, unaweza kukwanyua kwa mikono yako, lakini usikate kwa mundu nafaka iliyosimama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uingiapo katika mmea wa jirani yako waweza kuyapurura masuke kwa mkono wako; ila usisongeze mundu katika mmea wa jirani yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukipitia katika shamba la jirani yako lenye nafaka unaweza kukwanyua masuke kwa mkono na kula, lakini usichukue mundu kukata mazao yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ukiingia katika shamba la nafaka la jirani yako, unaweza kukwanyua kwa mikono yako, lakini usikate kwa mundu nafaka iliyosimama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ukiingia katika shamba la nafaka la jirani yako, unaweza kukwanyua kwa mikono yako, lakini usikate kwa mundu nafaka iliyosimama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uingiapo katika mmea wa jirani yako waweza kuyapurura masuke kwa mkono wako; ila usisogeze mundu katika mmea wa jirani yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukipitia katika shamba la jirani yako lenye nafaka unaweza kukwanyua masuke kwa mkono na kula, lakini usichukue mundu kukata mazao yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakapoingia penye ngano za mwenzako zilizoiva utaweza kukonyoa masuke kwa mkono wako, lakini usiyakatekate mabua ya mwenzako kwa mundu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uingiapo katika mmea wa jirani yako waweza kuyapurura masuke kwa mkono wako; ila usisongeze mundu katika mmea wa jirani yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Ukipitia katika shamba la muzabibu la mwenzako unaweza kula zabibu kadiri unavyoweza, lakini usichume na kupeleka zabibu zozote katika kikapu chako.