Deuteronomy 23:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mwamoni au Mmoabu yeyote, wazawa wao wote hata kizazi cha kumi, hawaruhusiwi kuingia katika kusanyiko la watu wa Mwenyezi-Mungu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hapatakuwa na Mwamoni au Mmoabu au yeyote wa wazao wao atakayeruhusiwa kuingia katika kusanyiko la Mwenyezi Mungu, hata kizazi cha kumi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwamoni wala Mmoabi wasiingie katika mkutano wa Bwana; wala hata kizazi cha kumi mtu wao asiingie katika mkutano wa Bwana milele;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mwamoni au Mmoabu yeyote, wazawa wao wote hata kizazi cha kumi, hawaruhusiwi kuingia katika kusanyiko la watu wa Mwenyezi-Mungu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hapatakuwa na Mwamori au Mmoabi au ye yote wa wazao wao atakayeruhusiwa kuingia katika kusanyiko la BWANA, hata mpaka kizazi cha kumi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hapatakuwa na Mwamoni au Mmoabu au yeyote wa wazao wao atakayeruhusiwa kuingia katika kusanyiko la bwana, hata mpaka kizazi cha kumi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwamoni wala Mmoabi wasiingie katika mkutano wa BWANA; wala hata kizazi cha kumi mtu wao asiingie katika mkutano wa BWANA milele;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mwamoni au Mmoabu yeyote, wazawa wao wote hata kizazi cha kumi, hawaruhusiwi kuingia katika kusanyiko la watu wa Mwenyezi-Mungu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwamoni wala Mmoabu asiingie katika mkutano wa Bwana, ijapo awe wa kizazi chao cha kumi, kale na kale na wasiingie katika mkutano wa Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwamoni wala Mmoabi wasiingie katika mkutano wa BWANA; wala hata kizazi cha kumi mtu wao asiingie katika mkutano wa BWANA milele;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Na mwana haramu yeyote, wala muzao wake hata kizazi cha kumi, haruhusiwi kuingia katika kusanyiko la watu wa Yawe.