Deuteronomy 23:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, hakumsikiliza Balaamu; badala yake laana hiyo iligeuka kuwa baraka, kwa kuwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliwapenda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo, Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, hakumsikiliza Balaamu bali aligeuza laana kuwa baraka kwenu kwa sababu Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anawapenda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Bwana, Mungu wako, hakukubali kumsikiza huyo Balaamu; Bwana, Mungu wako, aliyageuza yale maapizo kuwa ni baraka, kwa vile alivyokupenda Bwana, Mungu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, hakumsikiliza Balaamu; badala yake laana hiyo iligeuka kuwa baraka, kwa kuwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliwapenda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata hivyo, BWANA Mungu wenu hakumsikiliza Balaamu bali aligeuza laana kuwa baraka kwenu kwa sababu BWANA Mungu wenu anawapenda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo, bwana Mwenyezi Mungu wenu hakumsikiliza Balaamu bali aligeuza laana kuwa baraka kwenu kwa sababu bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapenda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini BWANA, Mungu wako, hakukubali kumsikiliza huyo Balaamu; BWANA, Mungu wako, aliyageuza yale maapizo kuwa ni baraka, kwa vile alivyokupenda BWANA, Mungu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, hakumsikiliza Balaamu; badala yake laana hiyo iligeuka kuwa baraka, kwa kuwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliwapenda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Bwana Mungu wako akakataa kumsikia Bileamu, akakugeuzia kiapizo chake kuwa mbaraka kwa hivyo, Bwana Mungu wako alivyokupenda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini BWANA, Mungu wako, hakukubali kumsikiza huyo Balaamu; BWANA, Mungu wako, aliyageuza yale maapizo kuwa ni baraka, kwa vile alivyokupenda BWANA, Mungu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa sababu walikataa kuwapatia chakula na maji mulipokuwa katika njia kutoka Misri, na kwa sababu walimulipa Balamu mwana wa Beori kutoka Petori kule Mesopotamia, awalaani.