Deuteronomy 23:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo, kamwe msiwasaidie hao wapate amani na fanaka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msitafute mapatano ya urafiki nao maisha yenu yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usitafute amani yao wala heri yao siku zako zote, milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo, kamwe msiwasaidie hao wapate amani na fanaka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msitafute mapatano ya urafiki nao maisha yenu yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msitafute mapatano ya urafiki nao maisha yenu yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usitafute amani yao wala heri yao siku zako zote, milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo, kamwe msiwasaidie hao wapate amani na fanaka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nawe usiwatafutie utengemano wala mema yo yote siku zako zote kale na kale!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usitafute amani yao wala heri yao siku zako zote, milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Yawe, Mungu wenu, hakumusikiliza Balamu; pahali pake laana hiyo iligeuka kuwa baraka, kwa sababu Yawe, Mungu wenu, aliwapenda.