Deuteronomy 23:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wazawa wao, kuanzia kizazi cha tatu, wataruhusiwa kuingia katika kusanyiko la watu wa Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kizazi cha tatu cha watoto watakaozaliwa nao wanaweza kuingia katika kusanyiko la Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wao watakaozaliwa kizazi cha tatu na waingie katika mkutano wa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wazawa wao, kuanzia kizazi cha tatu, wataruhusiwa kuingia katika kusanyiko la watu wa Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kizazi cha tatu cha watoto watakaozaliwa nao wanaweza kuingia katika kusanyiko la BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kizazi cha tatu cha watoto watakaozaliwa nao wanaweza kuingia katika kusanyiko la bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wao watakaozaliwa kizazi cha tatu na waingie katika mkutano wa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wazawa wao, kuanzia kizazi cha tatu, wataruhusiwa kuingia katika kusanyiko la watu wa Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wao watakaozaliwa wa kizazi cha tatu wataweza kuingia katika mkutano wa Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wao watakaozaliwa kizazi cha tatu na waingie katika mkutano wa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Musiwachukie Waedomu; hao ni wandugu zenu. Na musiwachukie Wamisri, maana mulikaa katika inchi yao kama vile wageni.