Deuteronomy 23:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mkienda vitani, mkapiga kambi, kila mmoja ajihadhari na kitu chochote kiovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unapokuwa umepiga kambi dhidi ya adui zako, jitenge na kitu chochote kisicho safi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utakapotoka kwenda juu ya adui zako nawe u katika marago, jilinde na kila neno baya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mkienda vitani, mkapiga kambi, kila mmoja ajihadhari na kitu chochote kiovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unapokuwa umepiga kambi dhidi ya adui zako, jitenge na kitu cho chote kisicho safi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unapokuwa umepiga kambi dhidi ya adui zako, jitenge na kitu chochote kisicho safi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utakapotoka kwenda juu ya adui zako nawe u katika kambi, jilinde na kila neno baya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mkienda vitani, mkapiga kambi, kila mmoja ajihadhari na kitu chochote kiovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakapotoka makambini kuwaendea adui zako, jiangalie, usifanye kibaya cho chote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utakapotoka kwenda juu ya adui zako nawe u katika marago, jilinde na kila neno baya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wazao wao, kuanzia kizazi cha tatu, wataruhusiwa kuingia katika kusanyiko la watu wa Yawe.