Deuteronomy 24:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ukimkopesha jirani kitu chochote, usiingie kwake kuchukua rehani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unapomkopesha jirani yako chochote, usiingie nyumbani mwake kutwaa kile anachokitoa kama rehani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umkopeshapo jirani yako cho chote kikopeshwacho usiingie katika nyumba yake kwenda kutwaa rehani kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ukimkopesha jirani kitu chochote, usiingie kwake kuchukua rehani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unapomkopesha jirani yako cho chote, usiingie nyumbani kwake kutwaa kile anachokitoa kama rehani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unapomkopesha jirani yako chochote, usiingie nyumbani kwake kutwaa kile anachokitoa kama rehani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umkopeshapo jirani yako chochote kikopeshwacho usiingie katika nyumba yake kwenda kutwaa rehani kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ukimkopesha jirani kitu chochote, usiingie kwake kuchukua rehani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakapomkopesha mwenzako cho chote, alichokukopa, usiingie nyumbani mwake kumtoza roho yake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umkopeshapo jirani yako cho chote kikopeshwacho usiingie katika nyumba yake kwenda kutwaa rehani kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Ukimukopesha mwenzako kitu chochote, usiingie kwake kutwaa rehani.