Deuteronomy 24:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila siku, kabla jua halijakuchwa, mlipe ujira wake wa siku hiyo, maana yeye ni maskini na huo ujira ni tegemeo la moyo wake; ili asije akamlilia Mwenyezi-Mungu, nawe ukawa na hatia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mlipe ujira wake kila siku kabla ya jua kutua, kwa sababu yeye ni maskini na anautegemea ujira huo. La sivyo, anaweza kumlilia Mwenyezi Mungu dhidi yako, nawe ukapata hatia ya dhambi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mpe ujira wake kwa siku yake, wala jua lisichwe juu yake; kwa maana ni maskini, moyo wake umeutumainia huo; asije akamlilia Bwana juu yako, ikawa ni dhambi kwako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila siku, kabla jua halijakuchwa, mlipe ujira wake wa siku hiyo, maana yeye ni maskini na huo ujira ni tegemeo la moyo wake; ili asije akamlilia Mwenyezi-Mungu, nawe ukawa na hatia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mlipe ujira wake kila siku kabla ya jua kutua, kwa sababu yeye ni maskini na anautegemea ujira huo. La sivyo, anaweza kumlilia BWANA dhidi yako, nawe ukapata hatia ya dhambi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mlipe ujira wake kila siku kabla ya jua kutua, kwa sababu yeye ni maskini na anautegemea ujira huo. La sivyo, anaweza kumlilia bwana dhidi yako, nawe ukapata hatia ya dhambi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mpe ujira wake kwa siku yake, wala jua lisichwe juu yake; kwa maana ni maskini, moyo wake umeutumainia huo; asije akamlilia BWANA juu yako, ikawa ni dhambi kwako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila siku, kabla jua halijakuchwa, mlipe ujira wake wa siku hiyo, maana yeye ni maskini na huo ujira ni tegemeo la moyo wake; ili asije akamlilia Mwenyezi-Mungu, nawe ukawa na hatia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ila umpe mshahara wake siku iyo hiyo, jua lisije kuchwa, akiwa hajapata, kwani ni mkiwa, huutaka sana wa kujitunza, asimlilie Bwana kwa ajili yako, ukawa mwenye kujikosesha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mpe ujira wake kwa siku yake, wala jua lisichwe juu yake; kwa maana ni maskini, moyo wake umeutumainia huo; asije akamlilia BWANA juu yako, ikawa ni dhambi kwako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila siku, mbele jua halijatua, umulipe mushahara wake wa siku hiyo, maana yeye ni masikini na huo mushahara ni tegemeo la moyo wake; kusudi asimulilie Yawe, nawe utakuwa na kosa.