Deuteronomy 24:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kumbukeni kwamba nyinyi mlikuwa watumwa nchini Misri, na Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, akawakomboa kutoka huko. Kwa hiyo ninawapeni amri hiyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kumbukeni kwamba mlikuwa watumwa huko Misri, naye Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, akawakomboa kutoka huko. Hii ndiyo sababu ninawaamuru kutenda hili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bali kumbuka ya kuwa ulikuwa mtumwa katika Misri, Bwana, Mungu wako, akakukomboa huko; kwa hiyo nakuamuru kutenda neno hili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kumbukeni kwamba nyinyi mlikuwa watumwa nchini Misri, na Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, akawakomboa kutoka huko. Kwa hiyo ninawapeni amri hiyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kumbukeni kwamba mlikuwa watumwa huko Misri, naye BWANA Mungu wenu akawakomboa kutoka huko. Hii ndiyo sababu ninawaamuru kutenda hili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kumbukeni kwamba mlikuwa watumwa huko Misri, naye bwana Mwenyezi Mungu wenu akawakomboa kutoka huko. Hii ndiyo sababu ninawaamuru kutenda hili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
bali kumbuka ya kuwa ulikuwa mtumwa katika Misri, BWANA, Mungu wako, akakukomboa huko; kwa hiyo nakuamuru kutenda neno hili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kumbukeni kwamba nyinyi mlikuwa watumwa nchini Misri, na Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, akawakomboa kutoka huko. Kwa hiyo ninawapeni amri hiyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nawe kumbuka, ya kama ulikuwa mtumwa huko Misri, Bwana Mungu wako akakukomboa na kukutoa huko. Kwa sababu hii mimi ninakuagiza kuyafanya haya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali kumbuka ya kuwa ulikuwa mtumwa katika Misri, BWANA, Mungu wako, akakukomboa huko; kwa hiyo nakuamuru kutenda neno hili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mukumbuke kwamba ninyi mulikuwa watumwa katika inchi ya Misri, na Yawe, Mungu wenu, akawakomboa kutoka huko. Kwa hiyo ninawapa amri hiyo.