Deuteronomy 24:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mnapovuna mavuno yenu shambani na kusahau masuke mengine humo, msirudi kuyachukua, ila waachieni wageni, yatima na wajane, ili Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu awabariki katika kazi zenu zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unapovuna shamba lako na ukasahau mganda, usirudi kuuchukua. Acha kwa ajili ya mgeni, yatima na mjane, ili Mwenyezi Mungu, Mungu wako, aweze kukubariki wewe katika kazi zote za mikono yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uvunapo mavuno yako katika shamba lako, ukasahau mganda shambani, usirudi kuuchukua; na uwe wa mgeni, au yatima, au mjane; ili Bwana, Mungu wako, akubariki katika kazi yote ya mikono yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mnapovuna mavuno yenu shambani na kusahau masuke mengine humo, msirudi kuyachukua, ila waachieni wageni, yatima na wajane, ili Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu awabariki katika kazi zenu zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unapovuna shamba lako na ukasahau mganda, usirudi kuuchukua. Acha kwa ajili ya mgeni, yatima na mjane, ili BWANA Mungu wako aweze kukubariki wewe katika kazi zote za mikono yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unapovuna shamba lako na ukasahau mganda, usirudi kuuchukua. Acha kwa ajili ya mgeni, yatima na mjane, ili bwana Mwenyezi Mungu wako aweze kukubariki wewe katika kazi zote za mikono yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uvunapo mavuno yako katika shamba lako, ukasahau mganda shambani, usirudi kuuchukua; na uwe wa mgeni, au yatima, au mjane; ili BWANA, Mungu wako, akubariki katika kazi yote ya mikono yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mnapovuna mavuno yenu shambani na kusahau masuke mengine humo, msirudi kuyachukua, ila waachieni wageni, yatima na wajane, ili Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu awabariki katika kazi zenu zote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakapoyavuna mavuno yako katika shamba lako, ukasahau mganda mmoja shambani, usirudi kuuchukua, ila uache, uwe wa mgeni au wa mwana aliyefiwa na wazazi au wa mjane, Bwana Mungu wako akubarikie kazi zote za mikono yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uvunapo mavuno yako katika shamba lako, ukasahau mganda shambani, usirudi kuuchukua; na uwe wa mgeni, au yatima, au mjane; ili BWANA, Mungu wako, akubariki katika kazi yote ya mikono yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Munapovuna mavuno yenu katika shamba na kusahau masuke mengine humo, musirudi kuyatwaa, lakini muwaachie wageni, wayatima na wajane, kusudi Yawe, Mungu wenu, awabariki katika kazi zenu zote.