Deuteronomy 24:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mkipukutisha mizeituni yenu kuvuna matunda, msirudi kupukutisha tena vitawi vyake, ila waachieni wageni, yatima na wajane.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unapovuna zeituni kutoka miti yako, usirudie matawi mara ya pili. Acha kilichobaki kwa ajili ya mgeni, yatima na mjane.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utakapochuma matunda ya mizeituni yako, usirudi kuchuma mara ya pili; yaliyobaki apewe mgeni, na yatima, na mjane.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mkipukutisha mizeituni yenu kuvuna matunda, msirudi kupukutisha tena vitawi vyake, ila waachieni wageni, yatima na wajane.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unapovuna zeituni kutoka katika miti yako, usirudie matawi mara ya pili. Acha kilichobaki kwa ajili ya mgeni, yatima na mjane.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unapovuna zeituni kutoka miti yako, usirudie matawi mara ya pili. Acha kilichobaki kwa ajili ya mgeni, yatima na mjane.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utakapochuma matunda ya mizeituni yako, usirudi kuchuma mara ya pili; yaliyobaki apewe mgeni, na yatima, na mjane.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mkipukutisha mizeituni yenu kuvuna matunda, msirudi kupukutisha tena vitawi vyake, ila waachieni wageni, yatima na wajane.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakapoupukutisha mchekele wako usiurudie tena kuyapukutisha nayo matawi yake, matunda yao na yawe ya mgeni au ya mwana aliyefiwa na wazazi au ya mjane.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utakapochuma matunda ya mizeituni yako, usirudi kuchuma mara ya pili; yaliyobaki apewe mgeni, na yatima, na mjane.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Munapotikisa mizeituni yenu kwa kuvuna matunda, musirudi kutikisa tena vitawi vyake, lakini muwaachie wageni, wayatima na wajane.