Deuteronomy 24:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kama huyo mume wa pili akimchukua, akamwandikia hati ya talaka, akampa na kumfukuza nyumbani mwake, au kama huyo mumewe akifa,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mume wake wa pili akichukizwa naye, akamwandikia hati ya talaka, akampa na kumfukuza kutoka nyumbani mwake, au huyo mume wa pili akifa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na huyo mumewe wa sasa akimchukia, na kumwandikia hati ya kumwacha, na kumpa mkononi mwake, na kumtoa katika nyumba yake; au akifa yeye mumewe wa sasa, aliyemtwaa kuwa mkewe;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kama huyo mume wa pili akimchukua, akamwandikia hati ya talaka, akampa na kumfukuza nyumbani mwake, au kama huyo mumewe akifa,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ikiwa mume wake wa pili atachukizwa naye akamwandikia hati ya talaka, akampa na kumfukuza kutoka nyumbani kwake, au kama akifa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ikiwa mume wake wa pili atachukizwa naye akamwandikia hati ya talaka, akampa na kumfukuza kutoka nyumbani kwake, au kama akifa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na huyo mumewe wa sasa akimchukia, na kumwandikia hati ya kumwacha, na kumpa mkononi mwake, na kumtoa katika nyumba yake; au akifa yeye mumewe wa sasa, aliyemtwaa kuwa mkewe;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kama huyo mume wa pili akimchukua, akamwandikia hati ya talaka, akampa na kumfukuza nyumbani mwake, au kama huyo mumewe akifa,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye huyu mumewe wa pili atakapochukizwa naye, na amwandikie naye cheti cha kuachana na kumpa mkononi mwake, kisha naye na amtume kwenda zake na kutoka nyumbani mwake. Hata itakapokuwa, huyu mumewe wa pili aliyemchukua kuwa mkewe afe,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na huyo mumewe wa sasa akimchukia, na kumwandikia hati ya kumwacha, na kumpa mkononi mwake, na kumtoa katika nyumba yake; au akifa yeye mumewe wa sasa, aliyemtwaa kuwa mkewe;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kama huyo mume wa pili akimutwaa, akimwandikia barua ya kuachana, akimupa na kumufukuza toka katika nyumba yake, au kama huyo mume wake akikufa,