Deuteronomy 24:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi, yule mume wa kwanza haruhusiwi tena kumchukua huyo mwanamke kuwa mke wake kwa sababu alikwisha kutiwa unajisi. Kufanya hivyo ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
basi yule mume wake wa kwanza, ambaye alimpa talaka, haruhusiwi kumwoa tena baada ya mwanamke huyo kuwa najisi. Hayo yatakuwa machukizo machoni pa Mwenyezi Mungu. Usilete dhambi juu ya nchi ambayo Mwenyezi Mungu, Mungu wako, anakupa kama urithi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
yule wa kwanza aliyemwacha asimtwae kuwa mkewe tena, akiisha kutiwa unajisi; kwa kuwa haya ni machukizo mbele za Bwana; kwa hiyo usiitie dhambini nchi, akupayo Bwana, Mungu wako, iwe urithi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi, yule mume wa kwanza haruhusiwi tena kumchukua huyo mwanamke kuwa mke wake kwa sababu alikwisha kutiwa unajisi. Kufanya hivyo ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
basi yule mume wake wa kwanza, ambaye alimpa talaka, haruhusiwi kumwoa tena baada ya mwanamke huyo kuwa najisi. Hayo yatakuwa machukizo machoni pa BWANA. Usilete dhambi juu ya nchi ambayo BWANA Mungu wako anakupa kama urithi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
basi yule mume wake wa kwanza, ambaye alimpa talaka, haruhusiwi kumwoa tena baada ya mwanamke huyo kuwa najisi. Hayo yatakuwa machukizo machoni pa bwana. Usilete dhambi juu ya nchi ambayo bwana Mwenyezi Mungu wako anakupa kama urithi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
yule wa kwanza aliyemwacha asimtwae kuwa mkewe tena, akiisha kutiwa unajisi; kwa kuwa haya ni machukizo mbele za BWANA; kwa hiyo usiitie dhambini nchi, akupayo BWANA, Mungu wako, iwe urithi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi, yule mume wa kwanza haruhusiwi tena kumchukua huyo mwanamke kuwa mke wake kwa sababu alikwisha kutiwa unajisi. Kufanya hivyo ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
bwana wake wa kwanza aliyemtuma kwenda kwao hana ruhusa kumchukua kuwa mkewe tena, akiisha kutiwa uchafu, kwani haya humchukiza Bwana. Kwa hiyo usiikoseshe hiyo nchi, Bwana Mungu wako atakayokupa, iwe fungu lako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
yule wa kwanza aliyemwacha asimtwae kuwa mkewe tena, akiisha kutiwa unajisi; kwa kuwa haya ni machukizo mbele za BWANA; kwa hiyo usiitie dhambini nchi, akupayo BWANA, Mungu wako, iwe urithi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi, yule mume wa kwanza haruhusiwi tena kumutwaa huyo mwanamuke kuwa muke wake kwa sababu alikwisha kuchafuliwa. Kufanya hivyo ni chukizo kwa Yawe.