Deuteronomy 24:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mtu yeyote akimwiba Mwisraeli mwenzake na kumfanya mtumwa wake au kumwuza utumwani, mtu huyo lazima auawe. Ndivyo mtakavyokomesha uovu miongoni mwenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama mtu akikamatwa akiiba yeyote miongoni mwa ndugu zake wa Waisraeli na kumtenda kama mtumwa au akimuuza, mwizi huyo ni lazima auawe. Nawe utaondoa uovu kutoka miongoni mwenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu akionekana anamwiba nduguze mmojawapo katika wana wa Israeli, akamfanya kama mtumwa, au kumwuza; na afe mwivi huyo; ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mtu yeyote akimwiba Mwisraeli mwenzake na kumfanya mtumwa wake au kumwuza utumwani, mtu huyo lazima auawe. Ndivyo mtakavyokomesha uovu miongoni mwenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama mtu akikamatwa akiiba ye yote miongoni mwa ndugu zake wa Waisraeli na kumtenda kama mtumwa au akimwuza, mwizi huyo ni lazima auawe. Nawe utaondoa uovu kutoka miongoni mwenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama mtu akikamatwa akiiba yeyote miongoni mwa ndugu zake wa Waisraeli na kumtenda kama mtumwa au akimuuza, mwizi huyo ni lazima auawe. Nawe utaondoa uovu kutoka miongoni mwenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu akionekana anamwiba nduguye mmojawapo katika wana wa Israeli, akamfanya kama mtumwa, au kumwuza; na afe mwizi huyo; ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mtu yeyote akimwiba Mwisraeli mwenzake na kumfanya mtumwa wake au kumwuza utumwani, mtu huyo lazima auawe. Ndivyo mtakavyokomesha uovu miongoni mwenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atakapoonekana mtu atakayemwiba mwingine kwao wana wa Isiraeli, amtumie kuwa mtumwa au amwuze, mwizi huyu hana budi kuuawa; ndivyo, utakavyouondoa ubaya huo katikati yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu akionekana anamwiba nduguze mmojawapo katika wana wa Israeli, akamfanya kama mtumwa, au kumwuza; na afe mwivi huyo; ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Mutu yeyote akimwiba Mwisraeli mwenzake na kumufanya kuwa mutumwa wake au kumwuzisha katika utumwa, mutu huyo anapaswa kuuawa. Ndivyo mutakavyokomesha uovu kati yenu.