Deuteronomy 24:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kumbukeni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu alivyomtendea Miriamu mlipokuwa safarini kutoka Misri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kumbukeni kile Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, alichomfanyia Miriamu njiani baada ya ninyi kutoka Misri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kumbukeni na Bwana, Mungu wako alivyomtenda Miriamu katika njia mlipotoka Misri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kumbukeni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu alivyomtendea Miriamu mlipokuwa safarini kutoka Misri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kumbukeni kile BWANA Mungu wenu alichomfanyia Miriamu njiani baada ya ninyi kutoka Misri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kumbukeni kile bwana Mwenyezi Mungu wenu alichomfanyia Miriamu njiani baada ya ninyi kutoka Misri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kumbukeni jinsi BWANA, Mungu wako alivyomtenda Miriamu katika njia mlipotoka Misri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kumbukeni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu alivyomtendea Miriamu mlipokuwa safarini kutoka Misri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yakumbuke, Bwana Mungu wako aliyomfanyizia Miriamu njiani, mlipotoka Misri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kumbukeni na BWANA, Mungu wako alivyomtenda Miriamu katika njia mlipotoka Misri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mukumbuke jinsi Yawe, Mungu wenu, alivyomutendea Miriamu mulipokuwa katika safari kutoka Misri.