Deuteronomy 26:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Baada ya kufika na kuimiliki nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu anawapa iwe yenu na kuishi huko,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtakapokuwa mmeingia nchi ambayo Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anawapa kama urithi na mtakapokuwa mmeimiliki na kukaa ndani yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na itakuwa, ukiisha kuingia katika nchi akupayo Bwana, Mungu wako, iwe urithi, na kuimiliki, na kukaa ndani yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Baada ya kufika na kuimiliki nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu anawapa iwe yenu na kuishi huko,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtakapokuwa mmeingia nchi ile ambayo BWANA Mungu wenu anawapa kama urithi na mtakapokuwa mmeimiliki na kukaa ndani yake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtakapokuwa mmeingia nchi ile ambayo bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapa kama urithi na mtakapokuwa mmeimiliki na kukaa ndani yake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na itakuwa, ukiisha kuingia katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako, iwe urithi, na kuimiliki, na kukaa ndani yake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Baada ya kufika na kuimiliki nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu anawapa iwe yenu na kuishi huko,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakapoingia katika hiyo nchi, Bwana Mungu wako atakayokupa, iwe fungu lako, utakapoichukua na kukaa huko,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na itakuwa, ukiisha kuingia katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako, iwe urithi, na kuimiliki, na kukaa ndani yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Na kisha kufika na kurizi inchi ambayo Yawe, Mungu wenu anawapa ikuwe yenu na kuishi huko,