Deuteronomy 26:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na sasa ninamletea Mwenyezi-Mungu malimbuko ya mazao ya nchi ambayo amenipa.’ “Kisha utaweka kikapu chini, mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, na kuabudu mbele zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nami sasa ninaleta malimbuko ya ardhi ambayo wewe, Ee Mwenyezi Mungu, umenipa.” Weka kapu mbele za Mwenyezi Mungu, Mungu wako, na usujudu mbele zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na sasa, tazama, nimeleta malimbuko ya mazao ya ardhi uliyonipa, Ee Bwana. Kisha ukiweke chini mbele za Bwana, Mungu wako, ukasujudu mbele za Bwana, Mungu wako;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na sasa ninamletea Mwenyezi-Mungu malimbuko ya mazao ya nchi ambayo amenipa.’ “Kisha utaweka kikapu chini, mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, na kuabudu mbele zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nami sasa ninaleta malimbuko ya ardhi ambayo wewe, Ee BWANA, umenipa.” Weka kapu mbele za BWANA Mungu wako na usujudu mbele zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nami sasa ninaleta malimbuko ya ardhi ambayo wewe, Ee bwana, umenipa.” Weka kapu mbele za bwana Mwenyezi Mungu wako na usujudu mbele zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na sasa, tazama, nimeleta malimbuko ya mazao ya ardhi uliyonipa, Ee BWANA. Kisha ukiweke chini mbele za BWANA, Mungu wako, ukasujudu mbele za BWANA, Mungu wako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na sasa ninamletea Mwenyezi-Mungu malimbuko ya mazao ya nchi ambayo amenipa.’ “Kisha utaweka kikapu chini, mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, na kuabudu mbele zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa tazama, nimeleta malimbuko ya mazao ya nchi hii, wewe Bwana uliyonipa. Kisha yaweke mbele ya Bwana Mungu wako na kumwangukia Bwana Mungu wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na sasa, tazama, nimeleta malimbuko ya mazao ya ardhi uliyonipa, Ee BWANA. Kisha ukiweke chini mbele za BWANA, Mungu wako, ukasujudu mbele za BWANA, Mungu wako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na sasa ninamuletea Yawe malimbuko ya mazao ya inchi ambayo amenipa’. “Kisha utaweka kikapu chini, mbele ya Yawe, Mungu wako, na kuabudu mbele yake.