Deuteronomy 26:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nawe utafurahia mema yote ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, amekujalia wewe na jamaa yako. Nao watafurahi pamoja nawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wewe pamoja na Walawi na wageni wote walio miongoni mwenu mtafurahi katika vitu vyote vizuri ambavyo Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, amewapa pamoja na wa nyumbani mwenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ukayafurahie mema yote ambayo Bwana, Mungu wako, amekupa, na nyumba yako, wewe, na Mlawi, na mgeni aliye kati yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nawe utafurahia mema yote ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, amekujalia wewe na jamaa yako. Nao watafurahi pamoja nawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wewe pamoja na Walawi na wageni wote walioko miongoni mwenu mtafurahi katika vitu vyote vizuri ambavyo BWANA Mungu wenu amewapa pamoja na wa nyumbani mwenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wewe pamoja na Walawi na wageni wote walioko miongoni mwenu mtafurahi katika vitu vyote vizuri ambavyo bwana Mwenyezi Mungu wenu amewapa pamoja na wa nyumbani mwenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ukayafurahie mema yote ambayo BWANA, Mungu wako, amekupa, na nyumba yako, wewe, na Mlawi, na mgeni aliye kati yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nawe utafurahia mema yote ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, amekujalia wewe na jamaa yako. Nao watafurahi pamoja nawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, utakavyoyafurahia mema yote, Bwana Mungu wako aliyokupa wewe na mlango wako, uyafurahie wewe pamoja na Mlawi na mgeni atakayekaa kwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ukayafurahie mema yote ambayo BWANA, Mungu wako, amekupa, na nyumba yako, wewe, na Mlawi, na mgeni aliye kati yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nawe utafurahia mema yote ambayo Yawe, Mungu wako, amekujalia wewe na jamaa yako. Nao watafurahi pamoja nawe.