Deuteronomy 26:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Leo hii, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu anawaamuru kuyashika masharti na maagizo haya. Muwe waangalifu kuyatekeleza kwa moyo wote na roho yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu, Mungu wako, anakuagiza leo kufuata amri hizi na sheria; zingatia kwa makini kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Leo hivi akuamuru Bwana, Mungu wako, kuzifanya amri hizi na hukumu; basi uzishike na kuzifanya kwa moyo wako wote na roho yako yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Leo hii, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu anawaamuru kuyashika masharti na maagizo haya. Muwe waangalifu kuyatekeleza kwa moyo wote na roho yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA Mungu wako anakuagiza leo kufuata amri hizi na sheria; zishike kwa bidii kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana Mwenyezi Mungu wako anakuagiza leo kufuata amri hizi na sheria; zishike kwa bidii kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Leo hivi akuamuru BWANA, Mungu wako, kuzifanya amri hizi na hukumu; basi uzishike na kuzifanya kwa moyo wako wote na roho yako yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Leo hii, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu anawaamuru kuyashika masharti na maagizo haya. Muwe waangalifu kuyatekeleza kwa moyo wote na roho yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Leo hivi Bwana Mungu wako anakuagiza kufanya maongozi haya na maamuzi haya, uyaangalie, upate kuyafanya kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Leo hivi akuamuru BWANA, Mungu wako, kuzifanya amri hizi na hukumu; basi uzishike na kuzifanya kwa moyo wako wote na roho yako yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Leo hii, Yawe, Mungu wenu, anawaamuru kushika masharti na maagizo haya. Mukuwe waangalifu kuyatimiza kwa moyo wote na roho yote.