Deuteronomy 26:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Leo hii mmekiri Mwenyezi-Mungu, kuwa Mungu wenu, na kwamba mtafuata njia zake na kushika masharti, amri zake na maagizo yake na kutii sauti yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umetangaza leo kwamba Mwenyezi Mungu ndiye Mungu wako na kwamba utafuata njia zake, kwamba utayashika maagizo yake, amri zake na sheria zake nawe utamtii.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umemwungama Bwana leo, kuwa ndiye Mungu wako, na kuwa yakupasa kutembea katika njia zake, na kushika amri zake na maagizo yake, na hukumu zake, na kusikiza sauti yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Leo hii mmekiri Mwenyezi-Mungu, kuwa Mungu wenu, na kwamba mtafuata njia zake na kushika masharti, amri zake na maagizo yake na kutii sauti yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umetangaza leo kwamba BWANA ndiye Mungu wako na kwamba utafuata njia zake, kwamba utayashika maagizo yake, amri zake na sheria zake nawe utamtii.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umetangaza leo kwamba bwana ndiye Mungu wako na kwamba utafuata njia zake, kwamba utayashika maagizo yake, amri zake na sheria zake nawe utamtii.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umemwungama BWANA leo, kuwa ndiye Mungu wako, na kuwa yakupasa kutembea katika njia zake, na kushika amri zake na maagizo yake, na hukumu zake, na kusikiliza sauti yake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Leo hii mmekiri Mwenyezi-Mungu, kuwa Mungu wenu, na kwamba mtafuata njia zake na kushika masharti, amri zake na maagizo yake na kutii sauti yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nawe umesema leo, ya kama unamtaka Bwana, awe Mungu wako, ya kama unataka kuzishika njia zake na kuyaangalia maongozi yake na maagizo yake na maamuzi yake na kuisikia sauti yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umemwungama BWANA leo, kuwa ndiye Mungu wako, na kuwa yakupasa kutembea katika njia zake, na kushika amri zake na maagizo yake, na hukumu zake, na kusikiza sauti yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Leo Yawe ameahidi kwamba atakuwa Mungu wenu, kama mutafuata njia zake na kushika masharti, amri, na maagizo yake na kutii sauti yake.