Deuteronomy 26:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Mwenyezi-Mungu ametamka rasmi leo hii kwamba nyinyi ni watu wake yeye mwenyewe kama alivyowaahidi na kwamba mnatakiwa kushika amri zake zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye Mwenyezi Mungu ametangaza leo kwamba ninyi ni taifa lake, hazina yake ya pekee kama alivyoahidi, ili mpate kuyashika maagizo yake yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naye Bwana amekuungama hivi leo kuwa taifa iliyotengwa iwe yake yeye, kama alivyokuahidi, na kuwa yakupasa kushika maagizo yake yote;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Mwenyezi-Mungu ametamka rasmi leo hii kwamba nyinyi ni watu wake yeye mwenyewe kama alivyowaahidi na kwamba mnatakiwa kushika amri zake zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye BWANA ametangaza leo kwamba ninyi ni taifa lake, hazina yake ya thamani kama alivyoahidi, ili kwamba mpate kuyashika maagizo yake yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye bwana ametangaza leo kwamba ninyi ni taifa lake, hazina yake ya thamani kama alivyoahidi, ili kwamba mpate kuyashika maagizo yake yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye BWANA amekuungama hivi leo kuwa taifa iliyotengwa iwe yake yeye, kama alivyokuahidi, na kuwa yakupasa kushika maagizo yake yote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Mwenyezi-Mungu ametamka rasmi leo hii kwamba nyinyi ni watu wake yeye mwenyewe kama alivyowaahidi na kwamba mnatakiwa kushika amri zake zote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Bwana amekuambia leo, ya kama anakutaka, uwe ukoo wake ulio wake mwenyewe, kama alivyokuagia, tena ya kama anakutaka, uyaangalie maagizo yake yote;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye BWANA amekuungama hivi leo kuwa taifa iliyotengwa iwe yake yeye, kama alivyokuahidi, na kuwa yakupasa kushika maagizo yake yote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nanyi mumeahidi kwamba mutakuwa watu wake yeye mwenyewe na kwamba mutashika amri zake zote.