Deuteronomy 26:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Naye kuhani atakapochukua kikapu hicho mikononi mwako na kukiweka mbele ya madhabahu ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wako,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhani atapokea lile kapu mikononi mwako na kuliweka chini mbele ya madhabahu ya Mwenyezi Mungu, Mungu wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye kuhani atakipokea kikapu mkononi mwako, akiweke chini mbele ya madhabahu ya Bwana, Mungu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Naye kuhani atakapochukua kikapu hicho mikononi mwako na kukiweka mbele ya madhabahu ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wako,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhani atapokea lile kapu mikononi mwako na kuliweka chini mbele ya madhabahu ya BWANA Mungu wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhani atapokea lile kapu mikononi mwako na kuliweka chini mbele ya madhabahu ya bwana Mwenyezi Mungu wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye kuhani atakipokea kikapu mkononi mwako, akiweke chini mbele ya madhabahu ya BWANA, Mungu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Naye kuhani atakapochukua kikapu hicho mikononi mwako na kukiweka mbele ya madhabahu ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wako,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mtambikaji atakapokichukua hicho kikapu mkononi mwako, akiweke mbele ya hapo pa kumtambikia Bwana Mungu wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye kuhani atakipokea kikapu mkononi mwako, akiweke chini mbele ya madhabahu ya BWANA, Mungu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Naye kuhani atakapotwaa kikapu hicho toka mikono yako na kukiweka mbele ya mazabahu ya Yawe, Mungu wako,