Deuteronomy 26:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wamisri walitutendea kwa ukatili wakatutesa na kutulazimisha kufanya kazi ngumu ya watumwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Wamisri walituonea na kututaabisha, wakitufanyisha kazi ngumu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wamisri wakatuonea, wakatutesa, wakatutumikisha utumwa mzito.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wamisri walitutendea kwa ukatili wakatutesa na kutulazimisha kufanya kazi ngumu ya watumwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Wamisri walituonea na kututaabisha, wakitufanyisha kazi ngumu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Wamisri walituonea na kututaabisha, wakitufanyisha kazi ngumu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wamisri wakatuonea, wakatutesa, wakatutumikisha utumwa mzito.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wamisri walitutendea kwa ukatili wakatutesa na kutulazimisha kufanya kazi ngumu ya watumwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Wamisri wakatufanyizia mabaya, wakatutesa na kutufanyisha kazi ngumu za utumwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wamisri wakatuonea, wakatutesa, wakatutumikisha utumwa mzito.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wamisri walitutendea kwa ukali wakatutesa na kutulazimisha kufanya kazi ngumu ya watumwa.