Deuteronomy 26:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha tukamlilia Mwenyezi-Mungu, Mungu wa wazee wetu, akasikia kilio chetu, na kuyaona mateso yetu, kazi ngumu na dhuluma tulizozipata.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha tulimlilia Mwenyezi Mungu, Mungu wa baba zetu, naye Mwenyezi Mungu akasikia sauti yetu na akaona huzuni yetu, taabu yetu na mateso yetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tukamlilia Bwana, Mungu wa baba zetu; Bwana akasikia sauti yetu, akaona na taabu yetu, na kazi yetu, na kuonewa kwetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha tukamlilia Mwenyezi-Mungu, Mungu wa wazee wetu, akasikia kilio chetu, na kuyaona mateso yetu, kazi ngumu na dhuluma tulizozipata.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha tulimlilia BWANA, Mungu wa baba zetu, naye BWANA akasikia sauti yetu na akaona huzuni yetu, taabu yetu na mateso yetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha tulimlilia bwana, Mungu wa baba zetu, naye bwana akasikia sauti yetu na akaona huzuni yetu, taabu yetu na mateso yetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tukamlilia BWANA, Mungu wa baba zetu; BWANA akasikia sauti yetu, akaona na taabu yetu, na kazi yetu, na kuonewa kwetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha tukamlilia Mwenyezi-Mungu, Mungu wa wazee wetu, akasikia kilio chetu, na kuyaona mateso yetu, kazi ngumu na dhuluma tulizozipata.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, tulipomlilia Bwana, Mungu wa baba zetu, naye Bwana akazisikia sauti zetu, akayaona mateso yetu na masumbuko yetu na masongano yetu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tukamlilia BWANA, Mungu wa baba zetu; BWANA akasikia sauti yetu, akaona na taabu yetu, na kazi yetu, na kuonewa kwetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha tukamulilia Yawe, Mungu wa wazee wetu, akasikia kilio chetu, na kuona mateso yetu, kazi ngumu na mateso tulizozipata.