Deuteronomy 26:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alituleta hapa na kutupatia nchi hii inayotiririka maziwa na asali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatuleta mahali hapa akatupatia nchi hii, nchi inayotiririka maziwa na asali;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naye ametuingiza mahali hapa, na kutupa nchi hii, nchi ijaayo maziwa na asali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alituleta hapa na kutupatia nchi hii inayotiririka maziwa na asali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatuleta mahali hapa akatupa nchi hii, nchi inayotiririka maziwa na asali;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatuleta mahali hapa akatupa nchi hii, nchi inayotiririka maziwa na asali;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye ametuingiza mahali hapa, na kutupa nchi hii, nchi ijaayo maziwa na asali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alituleta hapa na kutupatia nchi hii inayotiririka maziwa na asali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akatuingiza mahali hapa, akatupa nchi hii, nayo ni nchi ichuruzikayo maziwa na asali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye ametuingiza mahali hapa, na kutupa nchi hii, nchi ijaayo maziwa na asali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akatuleta hapa na kutupatia inchi hii inayotiririka maziwa na asali.