Deuteronomy 27:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo mtatii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu mkizifuata amri zake na masharti yake ambayo ninawaamuru leo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtii Mwenyezi Mungu, Mungu wako, na kufuata amri zake na maagizo ninayokupa leo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi isikize sauti ya Bwana, Mungu wako, ufanye maagizo yake na amri zake nikuagizavyo leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo mtatii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu mkizifuata amri zake na masharti yake ambayo ninawaamuru leo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtii BWANA Mungu wako, na kufuata amri zake na maagizo ninayokupa leo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtii bwana Mwenyezi Mungu wako, na kufuata amri zake na maagizo ninayokupa leo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi isikilize sauti ya BWANA, Mungu wako, ufanye maagizo yake na amri zake nikuagizavyo leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo mtatii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu mkizifuata amri zake na masharti yake ambayo ninawaamuru leo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo isikie sauti ya Bwana Mungu wako, uyafanye maagizo yake na maongozi yake, mimi ninayokuagiza leo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi isikize sauti ya BWANA, Mungu wako, ufanye maagizo yake na amri zake nikuagizavyo leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo mutatii sauti ya Yawe, Mungu wenu, mukifuata amri zake na masharti yake ambayo ninawaamuru leo.”