Deuteronomy 27:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mkisha vuka Yordani, makabila yafuatayo yatasimama juu ya mlima Gerizimu kuwabariki watu: Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari, Yosefu na Benyamini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtakapovuka Mto Yordani, makabila haya yatasimama juu ya Mlima Gerizimu kubariki watu: Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari, Yusufu na Benyamini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hawa na wasimame juu ya mlima wa Gerizimu kwa kuwabarikia watu, mkiisha vuka Yordani; Simeoni, na Lawi, na Yuda, na Isakari, na Yusufu, na Benyamini;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mkisha vuka Yordani, makabila yafuatayo yatasimama juu ya mlima Gerizimu kuwabariki watu: Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari, Yosefu na Benyamini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtakapovuka Mto Yordani, makabila haya yatasimama juu ya Mlima Gerizimu kubariki watu: Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari, Yosefu na Benyamini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtakapovuka Mto Yordani, makabila haya yatasimama juu ya Mlima Gerizimu kubariki watu: Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari, Yusufu na Benyamini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hawa na wasimame juu ya mlima wa Gerizimu kwa kuwabarikia watu, mkiisha vuka Yordani; Simeoni, na Lawi, na Yuda, na Isakari, na Yusufu, na Benyamini;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mkisha vuka Yordani, makabila yafuatayo yatasimama juu ya mlima Gerizimu kuwabariki watu: Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari, Yosefu na Benyamini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawa na waende kusimama mlimani kwa Gerizimu na kuwabariki hawa watu, mtakapokwisha kuuvuka Yordani: Simeoni na Lawi na Yuda na Isakari na Yosefu na Benyamini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hawa na wasimame juu ya mlima wa Gerizimu kwa kuwabarikia watu, mkiisha vuka Yordani; Simeoni, na Lawi, na Yuda, na Isakari, na Yusufu, na Benyamini;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Mukisha kuvuka Yordani, makabila haya yatasimama juu na mulima Gerizimu kwa kubariki watu: Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari, Yosefu na Benjamina.