Deuteronomy 27:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“ ‘Alaaniwe mtu yeyote anayepotosha haki ya mgeni au yatima au mjane’. Na watu wote wataitika, ‘Amina!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Alaaniwe mtu apotoshaye haki ya mgeni, yatima au mjane.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na alaaniwe apotoaye hukumu ya mgeni, na yatima, na mjane aliyefiliwa na mumewe. Na watu wote waseme, Amina.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“‘Alaaniwe mtu yeyote anayepotosha haki ya mgeni au yatima au mjane’. Na watu wote wataitika, ‘Amina!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Alaaniwe mtu apotoshaye haki ya mgeni, yatima au mjane.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Alaaniwe mtu apotoshaye haki ya mgeni, yatima au mjane.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na alaaniwe apotoaye hukumu ya mgeni, na yatima, na mjane aliyefiwa na mumewe. Na watu wote waseme, Amina.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“ ‘Alaaniwe mtu yeyote anayepotosha haki ya mgeni au yatima au mjane’. Na watu wote wataitika, ‘Amina!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na awe ameapizwa atakayepotoa shauri la mgeni au la mwana aliyefiwa na wazazi au la mjane! Nao watu wote na waitikie: Amin!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na alaaniwe apotoaye hukumu ya mgeni, na yatima, na mjane aliyefiliwa na mumewe. Na watu wote waseme, Amina.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“ ‘Alaaniwe mutu yeyote anayepotosha haki ya mugeni au yatima au mujane’. Na watu wote wataitika: ‘Amina!’