Deuteronomy 27:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku ile mtakapovuka mto Yordani na kuingia katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, amewapeni, mtasimika mawe makubwa na kuyapiga lipu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtakapokuwa mmevuka Mto Yordani na kuingia katika nchi anayowapa Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, msimamishe mawe makubwa na myapake chokaa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na iwe, siku mtakayovuka Yordani kwenda nchi akupayo Bwana, Mungu wako, ujisimamishie mawe makubwa, ukayatalize matalizo,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku ile mtakapovuka mto Yordani na kuingia katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, amewapeni, mtasimika mawe makubwa na kuyapiga lipu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtakapokuwa mmevuka Mto Yordani na kuingia katika nchi awapayo BWANA Mungu wenu, msimamishe mawe makubwa na mkayatie lipu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtakapokuwa mmevuka Mto Yordani na kuingia katika nchi awapayo bwana Mwenyezi Mungu wenu, msimamishe mawe makubwa na mkayatie lipu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na iwe, siku mtakayovuka Yordani kwenda nchi akupayo BWANA, Mungu wako, ujisimamishie mawe makubwa, ukayatalize matalizo,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku ile mtakapovuka mto Yordani na kuingia katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, amewapeni, mtasimika mawe makubwa na kuyapiga lipu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku hiyo, mtakapouvuka Yordani kwenda katika hiyo nchi, Bwana Mungu wako atakayokupa, ujisimikie mawe makubwa na kuyapaka chokaa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na iwe, siku mtakayovuka Yordani kwenda nchi akupayo BWANA, Mungu wako, ujisimamishie mawe makubwa, ukayatalize matalizo,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ile mutakapovuka muto Yordani na kuingia katika inchi ambayo Yawe, Mungu wenu, amewapa, mutasimika mawe makubwa na kuyapiga lipu.