Deuteronomy 27:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“ ‘Alaaniwe mwanamume alalaye na mke wa baba yake, maana amemwaibisha baba yake’. Na watu wote wataitika, ‘Amina!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Alaaniwe mtu akutanaye kimwili na mke wa baba yake, kwa maana anadharau malazi ya baba yake.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na alaaniwe alalaye na mke wa baba yake, kwa kuwa amefunua mavazi ya babaye. Na watu wote waseme, Amina.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“‘Alaaniwe mwanamume alalaye na mke wa baba yake, maana amemwaibisha baba yake’. Na watu wote wataitika, ‘Amina!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Alaaniwe mtu akutanaye kimwili na mke wa baba yake, kwa maana anadharau malazi ya baba yake.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Alaaniwe mtu akutanaye kimwili na mke wa baba yake, kwa maana anadharau malazi ya baba yake.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na alaaniwe alalaye na mke wa baba yake, kwa kuwa amefunua mavazi ya babaye. Na watu wote waseme, Amina.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“ ‘Alaaniwe mwanamume alalaye na mke wa baba yake, maana amemwaibisha baba yake’. Na watu wote wataitika, ‘Amina!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na awe ameapizwa atakayelala na mkewe baba yake! Kwani huko atazifunua nguo za baba yake. Nao watu wote na waitikie: Amin!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na alaaniwe alalaye na mke wa baba yake, kwa kuwa amefunua mavazi ya babaye. Na watu wote waseme, Amina.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“ ‘Alaaniwe mwanaume anayelala na muke wa baba yake, maana amemupatisha baba yake haya’. Na watu wote wataitika: ‘Amina!’