Deuteronomy 27:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“ ‘Alaaniwe mtu yeyote alalaye na mnyama yoyote’. Na watu wote wataitika, ‘Amina!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Alaaniwe mtu akutanaye kimwili na mnyama yeyote.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na alaaniwe alalaye na mnyama wa aina yo yote. Na watu wote waseme, Amina.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“‘Alaaniwe mtu yeyote alalaye na mnyama yoyote’. Na watu wote wataitika, ‘Amina!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Alaaniwe mtu akutanaye kimwili na mnyama ye yote.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Alaaniwe mtu akutanaye kimwili na mnyama yeyote.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na alaaniwe alalaye na mnyama wa aina yoyote. Na watu wote waseme, Amina.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“ ‘Alaaniwe mtu yeyote alalaye na mnyama yoyote’. Na watu wote wataitika, ‘Amina!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na awe ameapizwa atakayelala na nyama wo wote! Nao watu wote na waitikie: Amin!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na alaaniwe alalaye na mnyama wa aina yo yote. Na watu wote waseme, Amina.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“ ‘Alaaniwe mutu yeyote anayelala na nyama yoyote’. Na watu wote wataitika: ‘Amina!’