Deuteronomy 27:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“ ‘Alaaniwe mtu yeyote alalaye na dada yake awe ni binti ya baba yake au binti ya mama yake’. Na watu wote wataitika, ‘Amina!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Alaaniwe mtu akutanaye kimwili na dada yake, binti ya baba yake au binti ya mama yake.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na alaaniwe alalaye na umbu lake, binti ya babaye, au binti ya mamaye. Na watu wote waseme, Amina.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“‘Alaaniwe mtu yeyote alalaye na dada yake awe ni binti ya baba yake au binti ya mama yake’. Na watu wote wataitika, ‘Amina!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Alaaniwe mtu akutanaye kimwili na dada yake, binti wa baba yake au binti wa mama yake.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Alaaniwe mtu akutanaye kimwili na dada yake, binti wa baba yake au binti wa mama yake.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na alaaniwe alalaye na dada yake, binti ya babaye, au binti ya mamaye. Na watu wote waseme, Amina.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“ ‘Alaaniwe mtu yeyote alalaye na dada yake awe ni binti ya baba yake au binti ya mama yake’. Na watu wote wataitika, ‘Amina!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na awe ameapizwa atakayelala na umbu lake aliye binti baba yake au binti mama yake! Nao watu wote na waitikie: Amin!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na alaaniwe alalaye na umbu lake, binti ya babaye, au binti ya mamaye. Na watu wote waseme, Amina.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“ ‘Alaaniwe mutu yeyote anayelala na dada yake akuwe ni binti ya baba yake au binti ya mama yake’. Na watu wote wataitika: ‘Amina!’