Deuteronomy 27:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mkiwa ngambo ya mto Yordani, mtasimika mawe hata juu ya mlima Ebali, kama ninavyowaamuru hivi leo, na kuyapiga lipu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtakapokuwa mmevuka Yordani, simamisheni mawe haya juu ya Mlima Ebali, kama ninavyowaagiza leo, na myapake chokaa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na iwe, mtakapokwisha vuka Yordani myasimamishe mawe haya, niwaagizayo hivi leo, katika mlima Ebali, nawe yatalize matalizo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mkiwa ng'ambo ya mto Yordani, mtasimika mawe hata juu ya mlima Ebali, kama ninavyowaamuru hivi leo, na kuyapiga lipu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtakapokuwa mmevuka Yordani, simamisheni mawe haya juu ya Mlima Ebali, kama ninavyowaagiza leo, mkayatie lipu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtakapokuwa mmevuka Yordani, simamisheni mawe haya juu ya Mlima Ebali, kama ninavyowaagiza leo, mkayatie lipu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na iwe, mtakapokwisha vuka Yordani myasimamishe mawe haya, niwaagizayo hivi leo, katika mlima Ebali, nawe yatalize matalizo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mkiwa ngambo ya mto Yordani, mtasimika mawe hata juu ya mlima Ebali, kama ninavyowaamuru hivi leo, na kuyapiga lipu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo mtakapouvuka Yordani yasimikeni mlimani kwa Ebali mawe haya, ninayowaagiza leo, kisha myapake chokaa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na iwe, mtakapokwisha vuka Yordani myasimamishe mawe haya, niwaagizayo hivi leo, katika mlima Ebali, nawe yatalize matalizo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mukiwa ngambo ya muto Yordani, mutasimika mawe hata juu ya mulima Ebali, kama vile ninavyowaamuru hivi leo, na kuyapiga lipu.