Deuteronomy 27:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtamjengea Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, madhabahu mahali hapo palipo na mawe ambayo hayakuchongwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huko mjengeeni Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, madhabahu, madhabahu ya mawe. Msitumie kifaa chochote cha chuma juu yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na huko umjengee madhabahu Bwana, Mungu wako, madhabahu ya mawe, usitumie chombo cha chuma juu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtamjengea Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, madhabahu mahali hapo palipo na mawe ambayo hayakuchongwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huko mjengeeni BWANA Mungu wenu madhabahu, madhabahu ya mawe. Msitumie kifaa cho chote cha chuma juu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huko mjengeeni bwana Mwenyezi Mungu wenu madhabahu, madhabahu ya mawe. Msitumie kifaa chochote cha chuma juu yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na huko umjengee madhabahu BWANA, Mungu wako, madhabahu ya mawe, usitumie chombo cha chuma juu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtamjengea Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, madhabahu mahali hapo palipo na mawe ambayo hayakuchongwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha umjengee huko Bwana Mungu wako mahali pa kumtambikia, napo pajengwe kwa mawe yasiyochongwa kwa chuma cho chote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na huko umjengee madhabahu BWANA, Mungu wako, madhabahu ya mawe, usitumie chombo cha chuma juu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutamujengea Yawe, Mungu wenu, mazabahu pahali pale panapokuwa na mawe ambayo hayakuchongwa.